MAOMBI
Karibu kwenye huduma nzuri ya maombezi. Kwaya ya Kimara Kupitia kamati yake ya maombi ina utaratibu mzuri wa maombi! Unaweza kuleta mambo yako ambayo unahitaji yafikishwe kwa Mungu kwa njia ya maombi. Unaweza kutuma ujumbe mfupi kupitia simu namba: 0719024760 kwa maombi ya siri na kwa maombi ya wazi unaweza kutuma ujumbe mfupi kwa namba hiyo au unaweza kuandika kwenye kisanduku cha maoni hapo chini.
TEGEMEA MUUJIZA...
Maana Zaburi 88:10-13 Neno la BWANA linasema - Wafu je! Utawafanyia muujiza? Au waliofariki watasimama na kukuhimidi? Fadhili zako zitasimuliwa kaburini? Au uaminifu wako katika uharibifu? Miujiza yako itajulikana gizani? Au haki yako katika nchi ya usahaulifu? Lakini mimi nimekulilia Wewe, BWANA, Na asubuhi maombi yangu yatakuwasilia.
Ukiandika ujumbe anza na neno MAOMBI kisha ujumbe. MUNGU AKUBARIKI SANA....
SIYO LAZIMA KUANDIKA JINA LAKO!!
No comments:
Post a Comment
Tupatie maoni yako sasa!